Jinsi ya Kupokea SMS Kwenye Barua Pepe (Email) 1

Jinsi ya Kupokea SMS Kwenye Barua Pepe (Email)

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia ni wazi kuwa kuna wakati unatamani kurahisha mambo kwa kuunganisha huduma moja na nyingine. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kupokea SMS zako mpya kupitia email yako au barua pepe.

Bila kuendelea kupoteza muda, moja kwa moja twende nika kuonyeshe hatua kwa hatua jinsi ambavyo unaweza kupokea SMS zote mpya kupitia barua pepe.

https://www.youtube.com/watch?v=FZlYiURn4yE

Mpaka hapo natumaini umeweza kupokea SMS zako mpya kupitia barua pepe, kama unataka kujua apps zilizotajwa kwenye video hapo juu unaweza kudownload kupitia link hapo chini.

Download App Hiyo Hapa

Kama unataka kuendelea kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi mtu anavyoweza kusoma SMS zako bila wewe kujua, ikiwa pamoja na jinsi ya kujilinda na hilo. Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Jinsi ya Kubadilisha Video Yoyote Kuwa Video ya Katuni 2
Jinsi ya Kubadilisha Video Yoyote Kuwa Video ya Katuni
Next Post
Mitandao ya Kufupisha Link Maalum kwaajili ya Instagram 3

Mitandao ya Kufupisha Link Maalum kwaajili ya Instagram