simu ipi bora

Simu Ipi Kati ya Hizi ni Bora Kwako kwa Mwaka Uliopita wa 2016

Mwaka 2016 umekwisha lakini je simu ipi ilikua ni bora kwako, kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya teknolojia hizi ndio baadhi ya simu ambazo ni bora kwa mwaka huo wa 2016. Lakini je nini maoni yako, wewe unadhani smartphone ipi ni bora kwako kati ya hizi ?. Toa maoni yako kwa kuchagua jina simu moja kisha bofya Vote kutuma kura yako.

[totalpoll id=”9075″]

Kama unatumia App ya Tanzania tech unaweza kutoa moani yako kwa kutumia link hii http://bit.ly/simubora2016

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
kuedit picha
Programu 6 Bora za Android za Kuedit Picha Mwaka 2017
Next Post
Labfresh

Labfresh Shati la Kisasa Lisilo Chafuka Wala Kushika Madoa