Simu Gani Bora Upande wa Kamera.? Camon 30 vs Galaxy S24 1

Simu Gani Bora Upande wa Kamera.? Camon 30 vs Galaxy S24

Katika mada mpya ya hivi karibuni kati ya kamera za simu, kuna mpambano mpya wa kamera ya simu za mkononi kati ya Samsung Galaxy S24 na TECNO Camon 30 zinafafana viwango vya upigaji picha wa simu ya mkononi, wapiga picha wanapewa chaguo la kusisimua kati ya S24 na CAMON 30.

Baada ya kuona picha hizi zilizopigwa na S24 na CAMON 30, ni simu gani imeupiga mwingi zaidi katika matokeo bora ya picha?

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Mambo ya Kujua Kabla ya Kununua Laptop ya MacBook 2
Mambo ya Kujua Kabla ya Kununua Laptop ya MacBook
Next Post
Download Video Instagram, Twitter, TikTok, na Mitandao Mingine 3

Download Video Instagram, Twitter, TikTok, na Mitandao Mingine