iPhone-7 na galaxy-s7

Je Unadhani Kati ya iPhone 7 na Galaxy S7 Simu ipi ni Bora

Samsung inategemea kutoa simu yake mpya ya Galaxy S8 mwishoni mwa mwezi wa tatu, kwa upande wa kampuni ya Apple pia nayo inajiandaa na simu yake mpya ya iPhone 8 ambayo inategemewa kuja katikati ya mwaka huu kuanzia mwezi wa tano.

Katika hatua zote hizo za kampuni zote hizo kutarajia kuja na simu mpya ni vyema tuangalie nyuma kidogo kujua ni simu gani ambayo imekupendeza kwa mwaka ulio isha wa 2016 kutoka kwa kampuni hizo. Sasa hapa tungependa kujua maoni yako kuwa ni simu gani bora kwako kati ya simu hizo za iPhone 7 na Galaxy S7 tuambie kwa kuchagua aina ya simu unayoona kuwa kwako ni nzuri na bora kwako.

[totalpoll id=”8884″]

Kama unatumia App ya Tanzania Tech unaweza kutoa maoni yako kwa kutumia link hii http://bit.ly/tanzaniatechmaoni.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
KAMPUNI YA UBER
Kampuni ya Uber Yakabiliwa na Kashfa ya Unyanyasaji wa Kijinsia
Next Post
Remix OS

Remix OS Programu Inayo Badili Simu ya Android Kuwa Kompyuta