Simu Bora Kati ya Infinix Note 10 na Tecno Camon 17

Je ni simu gani ununue kati ya Infinix Note 10 na Tecno Camon 17
Simu Bora Kati ya Infinix Note 10 na Tecno Camon 17 Simu Bora Kati ya Infinix Note 10 na Tecno Camon 17

https://www.tanzaniatech.one/bei/comparison/infinix-note-10-na-tecno-camon-17/

Kama wewe unapenda simu za Tecno au simu za Infinix basi ni wakati wako kujua ni simu gani bora kuwa nayo kati ya Simu mpya ya Infinix Note 10 au simu mpya ya Tecno Camon 17. Bofya link hapo juu kujua tofauti ya sifa pamoja na bei ya simu hizi kwa hapa nchini Tanzania.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
2 comments
  1. Boss mbona hapo kwenye utofauti kati infinix note 10 na tecno camon 17 napata maelezo ya note 10 peke yake?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *