https://www.tanzaniatech.one/bei/comparison/infinix-note-10-na-tecno-camon-17/
Kama wewe unapenda simu za Tecno au simu za Infinix basi ni wakati wako kujua ni simu gani bora kuwa nayo kati ya Simu mpya ya Infinix Note 10 au simu mpya ya Tecno Camon 17. Bofya link hapo juu kujua tofauti ya sifa pamoja na bei ya simu hizi kwa hapa nchini Tanzania.