Samsung Galaxy S8cv

Samsung Galaxy S8 Kuzinduliwa Rasmi Kesho Tarehe 29 March

Imebaki siku moja mpaka kutoka kwa simu mpya ya Samsung Galaxy S8, simu ambayo imesubiriwa kwa hamu pengine kuliko simu nyingine zilizotoka mwanzoni mwa mwaka huu 2017.

Katika uzinduzi huo Samsung inategemewa kuzindua simu yake hiyo uko New York nchini marekani, tamasha la uzinduzi litanza hapo kesho saa 6:00 pm kwa saa za Afrika mashariki na tutakuletea tamasha zima jinsi litakavyo kuwa moja kwa moja live.

https://www.youtube.com/watch?v=2iNTxLXO-Iw

Kwa sasa kama unataka habari zaidi kuhusu simu hii unaweza ukasoma yote tuliyo yakusanya  kuhusu samsung galaxy s8 kabla ya tarehe ya kutoka hapo kesho.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya video.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Facebook Yaleta Sehemu Mpya ya Facebook Stories 1
Facebook Yaleta Sehemu Mpya ya Facebook Stories
Next Post
samsung Galaxy s8 phone

Angalia Hapa Uzinduzi Rasmi wa Simu Mpya ya Samsung Galaxy S8