PHANTOM V Fold2 na Flip2 5G Zashinda Tuzo za French Design Awards

PHANTOM V Fold2 5G na PHANTOM V Flip2 5G za TECNO zote mbili zilitambuliwa kwa kutunukiwa Tuzo ya Dhahabu (The Gold Award)
PHANTOM V Fold2 na Flip2 5G Zashinda Tuzo za French Design Awards PHANTOM V Fold2 na Flip2 5G Zashinda Tuzo za French Design Awards

PHANTOM V Fold2 5G na PHANTOM V Flip2 5G za TECNO zote mbili zilitambuliwa kwa kutunukiwa Tuzo ya Dhahabu (The Gold Award) ya kifahari, zikianzisha kiwango kipya cha mtindo na uvumbuzi.

Tuzo ya Ubunifu ya Ufaransa (The French Design Award), iliyoanzishwa na Shirikisho la Kimataifa la Tuzo (IAA), inaheshimu mafanikio bora ya ubunifu kwa kutoa jukwaa kwa wabunifu kuonyesha mawazo yao ya ubunifu.PHANTOM V Fold2 na Flip2 5G Zashinda Tuzo za French Design Awards

Advertisement

Tuzo hii, inayohukumiwa na wataalamu maarufu duniani, ni yenye ushindani mkubwa na inatambua ubora wa hali ya juu wa ubunifu katika makundi mbalimbali.

Tuzo ya Dhahabu (The Gold Award) inatolewa kwa bidhaa zinazokidhi viwango vya juu zaidi vya tasnia, ikionyesha PHANTOM V Fold2 5G na PHANTOM V Flip2 5G za TECNO kama mifano bora ya uvumbuzi wa kisasa.

PHANTOM V Fold2 na Flip2 5G Zashinda Tuzo za French Design Awards

Washindi wa awali ni pamoja na viongozi wa tasnia katika sekta mbalimbali, jambo linaloimarisha sifa ya tuzo hii kama kipimo cha ubora katika tasnia ya ubunifu duniani.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *