Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia App Bila Ujuzi 1

Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia App Bila Ujuzi

https://www.tanzaniatech.one/biashara/item/jifunze-kutengeneza-app-ya-android-bila-programu-yoyote/82

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikia kumiliki app yako kwa kutengeneza app yako mwenyewe bila kutumia programu yoyote basi hii ni nafasi yako. Tanzania tech tunakuletea kozi ambayo itakusaidia kuweza kutengeneza app yako mwenyewe ambayo itakusaidia sana kuingiza pesa mtandaoni kila siku.

Kupitia kozi hiyo nitakufundisha kutengeneza app hiyo ambayo unaweza kuweka kwenye soko la Play Store, na pia app hiyo inafanya kila kitu automatic bila wewe kufanya kitu chochote. Kifupi ni kwamba makala zote zitakuwa zinajipakia zenyewe kwa urahisi na haraka. Bofya link hapo juu kujua zaidi kuhusu kozi hii

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Game za Android
Game Nzuri za Kucheza Kwenye Simu ya Android
Next Post
Sunday Movie #28 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 2

Sunday Movie #28 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili