Njia Mpya Kabisa za Kutumia Programu ya WhatsApp 2017 1

Njia Mpya Kabisa za Kutumia Programu ya WhatsApp 2017

Hivi karibuni programu ya WhatsApp imeongezewa maboresho mengi sana ambayo yamefanya programu hiyo kuwa na njia nyingi mpya za kutumia programu hiyo, zifuatazo ni baadhi tu ya njia hizo mpya za kutumia programu hiyo maarufu ya kuchat duniani.

Kurahisisha zaidi nimekuweka video hapa chini ili uweze kujifunza njia hizo mpya kwa haraka na kwa vitendo, kama utakua umekwama unaweza kuuliza swali lako kupitia Forum yetu au kwa kupitia maoni hapo chini.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa video.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Android O
Kampuni ya Google Yaleta Toleo Jipya la Majaribio la Android O
Next Post

Uber Yasimamisha Majaribio ya Magari Yanayo Jiendesha