Namna ya Kutengeneza Blog

Namna ya Kutengeneza Blog Namna ya Kutengeneza Blog

Kuna naman nyingi za kupata pesa kwa njia ya mtandao ila njia ya kuweka matangazo kwenye wensite au blog ndio njia bora kabisa, ila je unatengenezaje blog? Kuna njia rahisi sana za kutengeneza blog kupita kwenye website mbalimbali.

Advertisement

Video hiyo hapo juu inaonyesha namna ya kutengeneza blog kupitia website ya blogger ambayo ndio inayotengeneza address za blogspot.com, fuatilia njia hizo rahisi kabisa kama utakua na maswali usisite kuuliza hapo chini.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
2 comments
  1. Asante P the mc, ili kupata theme hizi tafadhali temblea page yetu ya facebook inaitwa Tanzaniatech kisha tuma meseji yako hapo kisha tutakutumia theme hizo. Asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *