Mobile Plaza Jengo la Kwanza la Tecknolojia na Maduka ya Simu Tanzania

Mobile Plaza Jengo la Kwanza la Tecknolojia na Maduka ya Simu Tanzania Mobile Plaza Jengo la Kwanza la Tecknolojia na Maduka ya Simu Tanzania

Mobile plaza ni jengo kubwa kwaajili ya ununuzi wa simu pamoja na huduma za kiteknolojia tanzania jengo hilo limejengwa kufikia viwango vya kimataifa . Jengo hili lina na mchanganyiko wa maduka ya simu za mkononi ya rejareja, masoko, migahawa, benki, na sinema na maduka mengine mengi jengo hilo lilolopo jijini dar es salaam na ni moja kati ya vivutio vikubwa hapo jijini dar es salaam.

Kwa maelezo zaidi tembele tovuti ya mobileplazatz.com Jengo hili bado linapokea watu wanaopenda kuwa na maduka ya kisasa katika sehemu yenye ulizi na ya kisasa Tanzania.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *