mark-zuckerberg akihojiwa

Mubashara Mark Zuckerberg Akihojiwa na Wabunge wa Ulaya

Kama ripoti za awali zilivyo sema leo Mark Zuckerberg kwa mara ya pili leo anahojiwa na wabunge wa ulaya kuhusu usalama wa data za watumiaji wa Facebook wa nchini ulaya. Angalia hapa mubashara wakati Mark Zuckerberg akihojiwa na wabunge hao. Mahojiano haya yanafanyika mubashara akiwemo raisi wa bunge la ulaya.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Sifa za LG Q7
Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei za Simu Mpya za LG Q7
Next Post
instagram mute

Instagram Kuja na Njia Mpya ya Kunyamazisha (Mute) Picha za Mtu