LG G6

Angalia Hapa Live Uzinduzi wa Simu Mpya ya LG G6

Ungana nasi live moja kwa moja kutoka Barcelona kwenye uzinduzi wa simu mpya ya LG G6, Simu hii inazinduliwa kwenye mkutano wa MWC. Kama unataka kujua yote yaliyojiri fuatilia post hii tutakuwa tukiku habarisha yote yaliyojiri hapo chini.

  • Taarifa zote kuhusu yalkiyojiri hapa..

Bado dakika chache kwa mkutano wa Uzinduzi wa simu mpya ya LG G6 kuanza emdelea kutembelea tanzania tech kupata update zote hapa.

Previous Post
BlackBerry Keyone
Sifa za Simu Mpya ya BlackBerry KeyOne Iliyozinduliwa Jana
Next Post
Nokia 3310 mwaka 2017

Fahamu Sifa za Simu Mpya ya Nokia 3310 ya Mwaka 2017