Kampuni ya Alcatel Yatoa Tablet Yake Mpya ya Pop 7 LTE

Kampuni ya Alcatel Yatoa Tablet Yake Mpya ya Pop 7 LTE Kampuni ya Alcatel Yatoa Tablet Yake Mpya ya Pop 7 LTE

Hivi karibuni kampuni ya Alcatel ilitangaza kutoa tablet yake mpya iliyopewa jina jipya la Pop 7 Lte, tablet hiyo yenye inch 7 ina kioo cha pixel 1024 x 600 pia tablet hiyo mpya ya alcatel ina processor ya 1.1GHz Snapdragon quad-core, RAM ya 1GB, 8GB memory ya ndani na sehemu ya kuweka memory card.

Simu hiyo iliyotoka kwa toleo la T Mobile itakuwa ikiuzwa kwa dollar za kimarekani kati ya USD $129.99 na $132 ambayo ni sawa na shilingi za kitanzania TSH 2,86078.00 pia tablet hiyo inakuja na toleo jipya la Android ambalo limetoka hivi karibuni.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *