Jinsi Smartphone Zinavyo Tengenezwa Hatua kwa Hatua 1

Jinsi Smartphone Zinavyo Tengenezwa Hatua kwa Hatua

Kama ulishawahi kujiuliza Smartphone zina tengenezwa vipi..? basi majibu ya swali hili nimekuletea kwenye makala hii. Kupitia makala hii utaweza kuona hatua kwa hatua jinsi smartphone zinavyo tengenezwa kuanzia hatua ya awali hadi simu inapo kamilika.

Kitu cha muhimu hakikisha una angalia video hii hadi mwisho ili kuweza kuona hatua zote kuanzia hatua ya kwanza hadi hatua ya mwisho, basi bila kupoteza muda twende tukangalie hatua hizi.

Bila shaka sasa unajua jinsi smartphone zinavyo tengenezwa, Kama unataka kujua zaidi, hatua kwa hatua unaweza kuangalia makala yetu iliyopita ambapo tulikuwekea jinsi simu janja za China zinavyo tengenezwa. Kama umependa makala hii basi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku ili kupata makala nyingine nzuri kama hii. Mpaka siku nyingine Guys… Bye.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Bill Gates Atangaza Kujitoa Kwenye Bodi ya Uongozi ya Microsoft 2
Bill Gates Atangaza Kujitoa Kwenye Bodi ya Uongozi ya Microsoft
Next Post
Kampuni ya Nokia Yazindua Simu Mpya ya Nokia C2 (2020) 3

Kampuni ya Nokia Yazindua Simu Mpya ya Nokia C2 (2020)