Huu Ndio Uzinduzi wa Simu Mpya ya HTC 10

Huu Ndio Uzinduzi wa Simu Mpya ya HTC 10 Huu Ndio Uzinduzi wa Simu Mpya ya HTC 10

Hivi karibuni HTC imetoa simu yake mpya ya HTC 10 ambayo imetangazwa rasmi mda mfupi ulio pita simu hiyo ya HTC itaanza kuwa sokoni hivi karibuni, pia HTC hawakufanya tamasha lolote la kuachia simu hiyo bali wameachia simu hiyo kupitia video fupi ambayo imeonyesha simu hiyo.

Angalia video hiyo ya tukio hilo la uzinduzi wa simu hiyo bomba kwa wapenzi wa HTC.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
1 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *