Sasa Cheza Game Mpya ya Call of Duty Kupitia Android na iOS

Kama wewe ni mpenzi wa game za Action hii ni kwa ajili yako
Sasa Cheza Game Mpya ya Call of Duty Kupitia Android na iOS Sasa Cheza Game Mpya ya Call of Duty Kupitia Android na iOS

Hivi karibuni tulipata taarifa juu ya ujio wa game mpya ya Call of Duty ambayo itakuwa ni maalum kwa watumiaji wa simu za Android na iOS. Hivi karibuni game hiyo imetangazwa kuanza kupatikana kupitia masoko ya Play Store pamoja na App Store.

Advertisement

Kwa mujibu wa ripoti za hapo awali, kampuni ya Activision kwa kushirikiana na kampuni ya Tencent imetangaza kuwa Game hii mpya ya Call of Duty inakuja kwenye simu za mkononi huku ikiwa na uwezo wa kuruhusu watu zaidi ya wawili kucheza game hiyo moja kwa moja.

Kama wewe ni mpenzi wa game basi unaweza kupakua Game hii kupitia soko la simu yako husika kwa kutumia link hapo chini.

Call of Duty – Android

Call of Duty – iOS

Call of Duty®: Mobile
Price: Free+

Kama wewe ni mpenzi wa habari mbalimbali za game na ungependa kujua zaidi kuhusu game mpya za Android, iOS na kompyuta hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kwani kuna kitu kipya kinakuja.

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
3 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *