Diet Eyeglasses

Diet Eyeglasses Miwani Inayopima Utafunaji Wako Kwajili ya Lishe Bora

Hivi karibuni katika chuo cha Germany’s University of Passau kumetengenezwa miwani iliyopewa jina la Diet Eyeglasses miwani hii ina uwezo mkubwa wa kusaidia kulinda afya na lishe bora kwa kupima utafunaji wako pale unapokula chakula.

https://www.youtube.com/watch?v=jabxqOiK9is

Ikiwa chini ya watafiti kutoka katika chuo hicho miwani hiyo ni sehemu ya project kubwa iliyopewa jina la WISEglass ambayo ndio chanzo cha tafiti hii, hata hivyo katika post moja ya blog ya teknolojia ya Digital Trends iliandika kuwa  miwani hiyo inauwezo wa kupima utafunaji wako kwa kutumia electromyography (EMG) electrodes ambazo electrodes hizi zinafanya kazi kwa kupima kiwango cha mipasuko ya chakula katika mdomo wako hii ikiwa inafanyika moja kwa moja kwa kupima mishipa iliko kwenye sehemu maalumu ya kichwa.

Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog. Pia usisahau kubofya hako ka-LOVE hapo chini ili ku-show love..!!

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Muonekano wa Kwanza wa TouchWiz ya Samsung Galaxy Note 7
Next Post
simu bora

Simu Tano 5 Bora za Kununua Mwaka 2016