Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 1

Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9

Ule muda wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S9 ndio umefika, Jumuika nasi tukikuletea matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa simu hiyo ambayo yanafanyika kutoka nchini Barcelona kwenye mkutano wa MWC 2018 au Mobile World Congress. Angalia Tamasha la uzinduzi kwa kubofya hapo chini.

https://www.youtube.com/watch?v=8GdA4z9G4Qg

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Simu Mpya ya LG V30S
LG Yazindua Toleo Jipya la Simu Mpya ya LG V30S ThinQ
Next Post
Sifa za Samsung Galaxy S9

Hizi Hapa Sifa za Samsung Galaxy S9 na Galaxy S9 Plus