Tecno Yashinda Tuzo Mbili Za Dhahabu Kwa Ubunifu Wa AIoT 2024

TECNO imeshinda Tuzo mbili za Dhahabu kwa ubunifu wa AIoT katika Maonyesho ya IFA Berlin 2024
Tecno Yashinda Tuzo Mbili Za Dhahabu Kwa Ubunifu Wa AIoT 2024 Tecno Yashinda Tuzo Mbili Za Dhahabu Kwa Ubunifu Wa AIoT 2024

TECNO imeshinda Tuzo mbili za Dhahabu kwa ubunifu wa AIoT katika Maonyesho ya IFA Berlin 2024, ikitambuliwa kwa bidhaa zake mbili: TECNO MEGA MINI Gaming G1, kompyuta ndogo zaidi duniani, na TECNO Pocket Go, kifaa cha michezo cha AR chenye uzoefu wa 6D.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *