Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za OnePlus 7

OnePlus yazindua simu zake mpya za OnePlus 7 na 7 Pro
Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za OnePlus 7 Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za OnePlus 7

Kampuni ya OnePlus hivi leo inazindua simu zake mpya za OnePlus 7 na OnePlus 7 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi huo moja kwa moja kutoka nchini Marekani. Kama unataka kujua sifa kamili za simu hizi pamoja na bei yake kwa Tanzania hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech.

Advertisement

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *