Video : Instagram Imetengenezwa na Gramu Ngapi..?

Kucheka ni Afya hata hapa kwenye teknolojia watu tunafurahi
instagram instagram

Ukweli ni kwamba teknolojia bado sana kwa watanzania, nadhani kuna haja ya kuanza kutoa ufafanuzi wa maneno tunayo yatumia humu maana ukweli ni kwamba kuna baadhi ya watu hawajui hata maana ya neno Instagram…. Inafurahisha lakini inasikitisha pia hasa kwa sisi wanateknolojia.

Advertisement

Nini maoni yako kuhusu hili unadhani ni kwanini bado watanzania wengi tena wengi wao vijana hawajui maana ya vitu vya muhimu tena ukizingatia vitu hivi vinatajwa kila siku kwenye vyombo vya habari.. hivi ina maana hata wanapo sikia hayo maneno huwaza mambo haya haya au..?

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *