Tatizo Instagram: Akaunti Kuwa Suspended Bila Kosa 1

Tatizo Instagram: Akaunti Kuwa Suspended Bila Kosa

Habari, kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa instagram na umepata tatizo la akaunti yako kufungwa au kuwa suspended bila wewe kufanya kosa lolote basi hii taarifa ikufikie.

Mapema leo kumekuwa na tatizo la akaunti za instagram kufungwa bila sababu bila kuwa na njia ya kurudisha akaunti hiyo.

Tatizo hili linaonekana kupata watu wengi duniani hivyo pengine hili ni tatizo kutoka kwenye mtandao huo.

Kwa taarifa zaidi unaweza kuendelea kutembelea Tanzania Tech tutakupa taarifa zaidi pindi tutakapo zipata.

 

Previous Post
Ray Tomlinson aliye gundua barua pepe za kielektroniki au Email.
Fahamu Mwanzo wa Teknolojia na Makampuni Mbalimbali
Next Post
Jinsi ya Kuzuia SMS Sumbufu Kwenye Simu Yako 2

Jinsi ya Kuzuia SMS Sumbufu Kwenye Simu Yako