Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Jiandae na Infinix ZERO X Pro Yenye Uwezo wa Kupiga Picha za Anga 4

Jiandae na Infinix ZERO X Pro Yenye Uwezo wa Kupiga Picha za Anga

Nilishaandika kuhusu sifa za simu mpya ya Infinix ZERO X na hii ni baada ya kuzinduliwa mubashara kupitia tafrija iliyo andaliwa na wataalamu wa Anga wanao jihusisha maswala ya nyota na mwezi ‘Royal Observatory Greenwich’.

Baadhi ya waandishi tulipata nafasi ya kushiriki semina ya Infinix ZERO X dhumuni ikiwa ni kujifunza zaidi namna kila sifa ya simu hiyo ilivyo na faida katika maisha yetu ya kila siku.

Kwanza kabisa sifa kuu ya Infinix ZERO X ni kamera na Infinix imewekeza zaidi kwenye kamera nyuma ikiwa na kamera tatu na kamera kuu ni MP 108 na nyuzi 60X periscope za kuzoom kifaa kwa ukaribu zaidi kabla ya kupiga picha.

Jiandae na Infinix ZERO X Pro Yenye Uwezo wa Kupiga Picha za Anga 5
60X periscope imethibitika kuwa na uwezo wa kupiga picha za Anga na hii ni baada wataalamu wa nyota kufanya jaribio hilo kama inavyo onekana kwenye picha hiyo.

Jiandae na Infinix ZERO X Pro Yenye Uwezo wa Kupiga Picha za Anga 6

Nikiwa kama mjuzi wa maswala ya tech ni Dhahiri kampuni ya simu inahitaji pongezi series ya ZERO safari hii imekuja na mapinduzi kubwa. Infinix ZERO X ni simu ya kwanza kuja na kioo aina ya AMOLED na FHD+.

Jiandae na Infinix ZERO X Pro Yenye Uwezo wa Kupiga Picha za Anga 7

Kuhusu bei sifahamu lakini tetesi zinadai simu hiyo haitazidi dolla 400 kwa Tanzania tafadhali tembelea @infinixmobiletz kufahamu lini itatua Tanzania.

Previous Post
Fahamu Tofauti ya iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max 8

Fahamu Tofauti ya iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max

Next Post
Fahamu Mabadiliko Yote ya Muhimu Mfumo wa iOS 15 9

Fahamu Mabadiliko Yote ya Muhimu Mfumo wa iOS 15

Infinix Zero X Pro 10

Infinix Zero X Pro