Sunday Movie #32 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 1

Sunday Movie #32 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #32, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie hii ina mapigano sana hivyo sio nzuri kuangalia na watoto chini ya umri unaotakiwa.

Pakua Hapa 480p (MB 425.2)

Pakua Hapa 720p (GB 1.05)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #29 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka.!

Previous Post
Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji 2
Angalia Kama Simu Yako Inayo Teknolojia ya Kuzuia Maji
Next Post
Jinsi ya Kutengeneza Tovuti kama Twitter Ndani ya DK 10 3

Jinsi ya Kutengeneza Tovuti kama Twitter Ndani ya DK 10