Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa iPhone 8 (DK 13)

Wakati ndio umefika angalia hapa uzinduzi wa iphone 8
Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa iPhone 8 (DK 13) Angalia Hapa Mubashara Kabisa Uzinduzi wa iPhone 8 (DK 13)

Kwa wapenzi wa iphone, angalia hapa uzinduzi rasmi wa iphone 8 unaofanyiaka rasmi lao huko nchini marekani, karibu tujiunge wote kuangalia hostoria nyingine ya iPhone 8.

UPDATE : Baada ya tukio zima kukamilika hapo jana sasa angalia video ya dakika 13 ikiwa inaonyesha yote ya muhimu yaliyojiri kwenye uzinduzi huo Asante kwa Mtandao wa Engadget kwa video hii.

Advertisement

Kama unataka kujua zaidi kuhusu simu hizi unaweza kusoma makala zetu mpya zenye kuonyesha sifa kamili za simu hizo yaani iPhone 8, iPhone 8 Plus pamoja na iPhone X au iPhone 10.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Chanzo : Engadget

Soma habari mbalimbali za teknolojia kutoka tovuti ya Tanzania Tech
Over 7,000 subscribers
Add a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *