in

Jinsi ya Kubadilisha Simu ya Android Kuwa iPod Classic

Fanya simu yoyote ya Android kuwa na muonekano Halisi wa iPod

Jinsi ya Kubadilisha Simu ya Android Kuwa iPod Classic

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda muziki basi ni lazima unafahamu iPod, kama ufahamu iPod basi unaweza kuangalia muonekano hapo chini utafahamu ninacho zungumzia.

Jinsi ya Kubadilisha Simu ya Android Kuwa iPod Classic

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wametamani muonekano wa zamani wa iPod, basi njia hii itakusaidia sana kuweza kupata muonekano huu moja kwa moja kwenye simu yako ya Android. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye makala hii.

Badili Android Kuwa iPod

Kwa kuanza bofya link hapo chini kisha pakua app kupitia simu yako ya Android. App hii ni ndogo sana kiasi cha MB 4.2.

Download App Hapa

Baada ya hapo moja kwa moja fungua app hii kisha moja kwa moja utaweza kupata muonekano wa iPod Classic moja kwa moja kwenye simu yako ya Android.

Hitimisho

Kupitia app hii utaweza kufanya kila kitu ambacho kinaweza kufanyika kwenye iPod Classic na utaweza kupata pia kitufe maarufu kwenye ipod ambacho kinatumika kuendesha iPod. Njia hii ni rahisi sana na ni nzuri kama unafahamu iPod na kama ulikuwa unatamani kupata muonekano wa iPod kwenye simu yako.

Jinsi ya Kuanzisha Podcast kwa Urahisi na Bure (100%)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.