Sunday Movie #35 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili 1

Sunday Movie #35 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #35, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie hii ina mapigano na sehemu za kutisha hivyo sio nzuri kuangalia na watoto chini ya umri unaotakiwa.

Pakua Hapa 480p (MB 549.5)

Pakua Hapa 720p (GB 1.28)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #34 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Jumapili njema yenye baraka.!

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Fanya Booking Mtandaoni Kupata Chanjo ya Uviko 19 (Covid-19) 2
Fanya Booking Mtandaoni Kupata Chanjo ya Uviko 19 (Covid-19)
Next Post
Madhara ya Usalama Sababu ya Kusahau Kuzima Bluetooth 3

Madhara ya Usalama Sababu ya Kusahau Kuzima Bluetooth