in

Simu Gani ya Kununua Kati ya Vivo V21 na Tecno Phantom X

Hizi hapa ndio Tofauti kati ya Vivo V21 na Tecno Phantom X

Simu Gani ya Kununua Kati ya Vivo V21 na Tecno Phantom X

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kununua simu ya Tecno Phantom X, au simu mpya ya Vivo V21, pengine ningependa usubiri kwanza hadi uweze kusoma makala hii na kujua ni simu gani bora ya kununua kwa sasa.

Kampuni ya Tecno imezindua simu mpya ya Tecno Phantom X hivi karibu, simu ambayo inatarajiwa kuja hapa Tanzania siku siku nyingi. Lakini pia kampuni ya Vivo tayari imesha zindua simu yake mpya ya Vivo V21 ambayo hadi sasa tayari inapatikana kwenye maduka mbalimbali.

Kama unataka kununua moja ya simu hizi, au kama unataka kujua ni simu gani bora kati ya hizi basi bofya link hapo juu kujua ni simu gani ya kununua kati ya Vivo V21 na Tecno Phantom X.

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa iPhone 14

Posted by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.