in

Mabadiliko Mapya iOS 15, MacOS, iPadOS, pamoja na WatchOS

Fahamu pia mabadiliko ya mfumo wa MacOS, iPadOS, pamoja na WatchOS

Mabadiliko Mapya iOS 15, MacOS, iPadOS, pamoja na WatchOS

Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya teknolojia basi najua ulikuwa unajua kuwa jana kampuni ya Apple ilitangaza ujio wa mfumo wake mpya wa iOS 15 kupitia mkutano wa WWDC 2021, mkutano ambao ulifanyika online pekee.

Mabadiliko Mapya iOS 15, MacOS, iPadOS, pamoja na WatchOS
Katika mkutano huo yapo mengi yaliyo tangazwa lakini kwenye makala hii tutaenda kuongelea kuhusu mambo mapya kwenye mfumo wa iOS 15, MacOS, WatchOS, iPadOS, TVOs pamoja na huduma mpya mbalimbali za Apple.

Najua huna muda mrefu wa kusoma makala ndefu yenye kuelezea mambo yote hayo, hivyo moja kwa moja nimekuwekea video yenye kuelezea kwa undani mabadiliko yote kwenye mifumo hiyo ya iOS 15, MacOS, WatchOS, iPadOS, TVOs ikiwa pamoja na mabadiliko na huduma mpya mbalimbali za Apple zilizotangazwa.

Bila kuendelea kupoteza muda zaidi unaweza kuangalia video hapo chini ambayo inaelezea yote hayo kwa vitendo kwa muda wa dakika 23 tu.

Kama umefanikiwa kumaliza kuangalia dakika zote 23 basi na hayo ndio mabadiliko yote yanayokuja kwenye mfumo wa iOS 15, mfumo wa macOS, iPad OS, WatchOS pamoja na mfumo TVOs. Kama kwa namna yoyote unataka maelezo zaidi na sio video unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini nasi tutabadilisha makala hii ya video kuwa maandishi.

Njia Mpya ya Kutengeneza Pesa Kupitia YouTube Shorts Video

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.