Haya Hapa Mabadiliko Mapya Kwenye Mfumo wa iOS 14

Haya ndio mambo yote ambayo yamebadilika kwenye mfumo wa iOS 14
Haya Hapa Mabadiliko Mapya Kwenye Mfumo wa iOS 14 Haya Hapa Mabadiliko Mapya Kwenye Mfumo wa iOS 14

Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya teknolojia basi najua ulikuwa unajua kuwa jana kampuni ya Apple ilitangaza ujio wa mfumo wake mpya wa iOS 14 kupitia mkutano wa WWDC 2020, mkutano ambao ulifanyika online pekee.

Haya Hapa Mabadiliko Mapya Kwenye Mfumo wa iOS 14

Katika mkutano huo yapo mengi yaliyo tangazwa lakini kwenye makala hii tutaenda kuongelea kuhusu mambo mapya kwenye mfumo wa iOS 14. Najua huna muda mrefu wa kusoma hivyo moja kwa moja twende kwenye mabadiliko hayo.

Advertisement

Na hayo ndio mabadiliko yote yanayokuja kwenye mfumo wa iOS 14, kama unataka kujua zaidi kuhusu mfumo wa macOS na iPad OS unaweza kuendelea kusoma makala inayofuata. Kama kwa namna yoyote unataka maelezo zaidi na sio video unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini nasi tutabadilisha makala hii ya video kuwa maandishi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use