Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka)

Movie nzuri za kuangalia jumapili hii ya pasaka tarehe 04/04/2021
Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka) Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka)

Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #21, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako.

Kwa siku ya leo nimekuletea movie mbili kwa kuwa leo ni siku ya pasaka na najua kuwa leo upo nyumbani hivyo unaweza kufurahia kuangalia movie hizi siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa muda wowote hivyo ni muhimu kupakua haraka pale movie inapo wekwa.

Movie Nzuri #1

Advertisement

Pakua Movie #1 480p (MB 450.8)

Pakua Movie #1 720p (MB 999.2)

Movie Nzuri #2

Pakua Movie #2 480p (MB 939.1) Masaa 4

Pakua Movie #2 720p (GB 2.17) Masaa 4

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua movie nzuri ya sunday movie #20 iliyopita kwa wiki zilizopita. Mpaka siku nyingine nakutakia Pakasa njema na Jumapili njema yenye baraka!

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use