in

Sunday Movie #3 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia

Line of Duty (2019) ni movie nyingine nzuri unayoweza kuangalia jumapili hii

Sunday Movie #3 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia2:06

Karibu tena kwenye Sunday Movie #3, leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ambayo inahusisha teknolojia, ambayo unaweza kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo nakusogezea movie ya Line of Duty (2019) Movie hii inahusu mwandishi wa habari za video (Vlogger) ambaye alijikuta kwenye hali ngumu mara baada ya kufuatilia habari inayo muhusu mtoto wa chef wa polisi.

Kama ulipitwa na Sunday movie ya wiki iliyopita unaweza kusoma hapa kujua ni movie gani ya teknolojia ambayo tulifanikiwa kuangalia.

Download Hapa

Twitter Kufuta Alama ya Verified April 1 Mwaka Huu

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments