Karibu tena kwenye makala nyingine ya Sunday Movie, leo sidhani kama nina haja ya kuelezea sana movie ya leo kwani wengi wetu hasa wahenga wengi tunafahamu Movie hii, movie hii kwa sasa inapatikana na unaweza kupakua kupitia makala hii mwisho kabisa. Kama wewe ni mpenzi wa movie za teknolojia basi endelea kufuatilia kila jumapili.
in Mtandao
Sunday Movie #2 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia
Hii hapa movie nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili hii
