in

Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Link Kupitia Smartphone Yako

Utaweza kutengeneza pesa kupitia Adsense kwa urahisi kabisa

Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Link Kupitia Smartphone Yako

Karibuni kwenye maujanja, mara baada ya kumaliza maujanja ya jinsi ya kutengeneza tovuti ya muziki kupitia smartphone, hebu sasa twende tuangalie njia nyingine ya jinsi ya kutengeneza tovuti ya link ambayo inaweza kukusaidia kupata pesa mtandaoni.

Kumbuka njia zote hizi zinafanyika kupitia simu yako ya mkononi kwani wote tunajua smartphone sasa ndio zina tumika kwa asilimia kubwa kuliko hata kompyuta. Pia kumbuka kwa kufuata njia hii huto tumia gharama yoyote zaidi ya bando ambalo unatumia sasa kusoma makala hii pamoja na muda wako ambao na uhakika uko tayari kutumia ili kuweza kufanikisha hili. Basi bila kupoteza muda twende tuka angalia njia hii hatua kwa hatua.

1. Download Hapa Template ya Link Pesa – HAPA

2. Tengeneza akaunti ya Blogger – HAPA

3. Kuweka Custom Domain kwenye Blogger – HAPA

4. Mfano wa Tovuti ya Aina Hii yenye Matangazo ya Google – HAPA

Kama kuna mahali popote umekwama unaweza kuandika swali lako kupitia sehemu ya maoni hapo chini, au kama unaweza unaweza kuuliza swali lako kupitia forum yetu HAPA, kwa maujanja zaidi guys hakikisha una jiunga na channel yetu kwani video inayokuja nitakuonyesha njia ya kuwa approved na Google Adsense kupitia tovuti hii. Mpaka siku nyingine guys Bye!

Menu za Siri Ambazo Ulikuwa Huzijui Kwenye Windows 11

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

7 Comments