in

Video : Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2019 Ndani ya Dakika 13

Haya hapa ndio yote yaliyojiri kwenye mkutano wa WWDC 2019

Video : Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2019 Ndani ya Dakika 1312:59

Kama wewe ni mmoja wa watu waliokosa kuangalia mkutano wa WWDC 2019, basi usijali kwani unaweza kuangalia hapa mkutano mzima ndani ya dakika 13. Unaweza kuendelea kutembelea Tanzania Tech kujua kwa undani yote yaliyo tangazwa kwenye mkutano huo.

Kwa habari zaidi kuhusu mkutano wa WWDC hakikisha unatembelea ukurasa wetu wa WWDC 2019 Hapa.

Jinsi ya Kuanzisha Podcast kwa Urahisi na Bure (100%)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.