Jinsi ya Kutumia IDM Bure Kwa Muda Wowote (2020) 1

Jinsi ya Kutumia IDM Bure Kwa Muda Wowote (2020)

Wote tunajua kuwa programu ya IDM au Internet Download Manager ni moja ya programu muhimu sana kwa watumiaji wa kompyuta zenye mfumo wa Windows. Programu hii imekuwa maarufu sana kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi ya kupakua au kudownload kuwa rahisi hasa pale unapokuwa unadownload file lenye size kubwa.

Kutoka na programu hii kuwa msaada mkubwa watu wengi wamekuwa wakihitaji kutumia programu hii na kwa kuliona hilo nimekuja na maujanja ambayo yatakuwezesha kutumia programu ya IDM au Internet Download Manager bure kabisa. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii rahisi.

Unahitaji mambo kadhaa ili kuweza kuendelea kutumia pragamu hii ya IDM, Kama tayari unayo programu ya IDM na inakuletea matatizo basi ni vyema ukaondoa programu hiyo kwa kutumia programu ya IObit Unistaller. Programu hii itakusaidia kuondoa file zote na itaweza kufanya uweze kuinstall programu ya IDM upya.

https://youtu.be/w3x4MUttfuY

Kama unataka programu ya IObit Uninstaller unaweza kupakua HAPA, na kama unataka kupakua programu mpya ya IDM pakua hapa kupitia tovuti ya IDM. Vilevile kama unataka programu ya IDM Patcher unaweza kupakua programu hiyo HAPA.

Natumaini njia hii itakusaidia kutumia programu ya IDM bure na kwa muda wowote utakao kuwa unataka. Kama una maswali ushauri au hata maoni unaweza kuweza kuandika maoni yako hapo chini nasi tutakujibu haraka iwezekanavyo, Mpaka siku nyingine tena Byee!

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Google URL Shortener
Google Imetangaza Kuzima Tovuti Yake ya Link ya Goo.Gl
Next Post
Habari za Teknolojia

Hizi Hapa Habari za Teknolojia kwa Wiki Hii Tarehe 1/4/2018