Email kudukuliwa

Jinsi ya Kuangalia Kama Barua Pepe Imewahi Kudukuliwa

Linapokuja swala la usalama mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu anahitaji kufanya kazi ya ziada kuhakikisha unakuwa salama mtandaoni, Kusaidia kwenye hili leo Tanzania tech tuna kufahamisha njia rahisi na ya haraka ya jinsi ya kuangalia kama barua pepe yako iko salama.

Ili kufanya hatua hizi unahitajika kuwa na internet angalau MB 100 kwenye kifaa chako iwe simu au kompyuta. Kama tayari unavyo vitu vyote hivyo unaweza kuendelea kwa kuangalia video hapa chini, ni video fupi sana hivyo usiwe na wasiwasi kudhani utapoteza MB.

https://www.youtube.com/watch?v=U4SgZ_VEzbM

Kupitia video hii utaweza kujifunza #Maujanja jinsi ya kuangalia kama barua pepe yako au Email ime dukuliwa au kuwa Hacked, Njia hii ni rahisi sana na ina kuhitaji kuwa na internet kwenye kifaa chako. Tembelea Hapa kuangalia barua pepe yako, Jifunze Jinsi ya kuweka Two Factor Authentication hapa. Kama kuna mahali ujaelewa au kama una maoni au maswali unaweza kutu andikiwa kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Bei na Sifa za ViVo X21 UD Simu Yenye Fingerprint Kwenye Kioo 1
Bei na Sifa za ViVo X21 UD Simu Yenye Fingerprint Kwenye Kioo
Next Post
iOS 11.4

Mfumo Mpya wa iOS 11.4 Haya Ndio Mabadiliko Mapya