Video : Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2019 Ndani ya Dakika 13 1

Video : Angalia Hapa Mkutano wa WWDC 2019 Ndani ya Dakika 13

Kama wewe ni mmoja wa watu waliokosa kuangalia mkutano wa WWDC 2019, basi usijali kwani unaweza kuangalia hapa mkutano mzima ndani ya dakika 13. Unaweza kuendelea kutembelea Tanzania Tech kujua kwa undani yote yaliyo tangazwa kwenye mkutano huo.

Kwa habari zaidi kuhusu mkutano wa WWDC hakikisha unatembelea ukurasa wetu wa WWDC 2019 Hapa.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Jiandae na Simu Zenye Kamera ya Mbele Inayojificha Chini ya Kioo 2
Jiandae na Simu Zenye Kamera ya Mbele Inayojificha Chini ya Kioo
Next Post
Kampuni ya Apple Yazindua Mfumo Mpya wa iOS 13 3

Kampuni ya Apple Yazindua Mfumo Mpya wa iOS 13