apple

Website Mpya ya Apple Kwaajili ya Siku ya Mama Duniani

Kampuni ya Apple hivi karibuni imetoa website ambayo ina kuruhusu kuweka picha ya mama na kuipost facebook, picha hizo zinatumwa na watu wote duniani ikiwa ni moja kati ya sehemu ya kuadhimisha siku ya mama duniani.

Website hiyo ambayo inaitwa Moms shot on iphone ina uwezo wa kutengeneza video fupi ya yenye picha mbalimbali za watu duniani na kuishare kwenye mitandao ya kijamii, hivyo usishangae picha yako ikaonekana na watu mbalimbali duniani kwani Apple inafanya watu kuzi share video hizo online dunia nzima.

Njoo jaribu kufanya kitu maalumu kwa ajili ya mama bofya hapa [button type=”default” text=”momsshotoniphone.com” url=”https://momsshotoniphone.com” open_new_tab=”true”] ili utengeneze ya kwako na utokee dunia nzima. “Happy Mother’s Day To You All”

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
touch screen
Sasa Unaweza Kutumia Ngozi ya Mwili Kama Touch Screen
Next Post
4g

Sasa Vodacom Tanzania Yaleta LTE 4G