Samsung galaxy note 7

Angalia Hapa Uzinduzi wa Simu Mpya ya Samsung Galaxy Note 7

Uzinduzi wa simu mpya ya samsung galaxy note 7 unafanyika leo huko mjini New York mamilioni ya watu kote duniani watajiunga kutizama uzinduzi huo wa simu hiyo maarufu iliyo subiriwa kwa muda mrefu na watumiaji wake.

Hata hivyo samsung imetangaza kuonyesha live uzinduzi huo pamoja na kuonyesha live kupitia teknolojia mpya ya 360. Matangazo hayo yataonyeshwa live kupitia hapa hapa kwenye blog yako ya teknolojia ya tanzania tech.

https://www.youtube.com/watch?v=HCpVkeW40pI

Kwa kupata habari zaidi unaweza kuungana nasi kupitia barua pepe (email) na tutakujulisha pindi tu habari mpya itakapo ingia kwenye tovuti yetu ya Tanzania tech, pia unaweza kutufuata kwenye mitandao ya kijamii ya  facebook, Instagram, Twitter na Youtube Channel ili kupata video za habari na mafunzo ya teknolojia mbalimbali.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Kompyuta za desktop bora
Hizi Ndio Kompyuta Bora za Desktop za Kununua Mwaka 2019
Next Post
chaji ya simu

Chaji ya Simu Yenye Kuchaji Simu yako Uku Ikielea