Angalia Hapa Uzinduzi wa Apple iPhone 12 Ndani ya DK 12 1

Angalia Hapa Uzinduzi wa Apple iPhone 12 Ndani ya DK 12

Kama wewe ni mpenzi wa bidhaa za Apple bila shaka unajua kuwa leo ndio ile siku kubwa kwani Apple wanaenda kutabulisha toleo la 12 la simu zake za iPhone.

Tayari zipo taarifa mbalimbali kuhusu simu hizi na tayari zimesha vuja picha mbalimbali za simu hizi lakini ningependa ujionee mwenyewe hivyo ungana nasi mubashara kabisa wakati apple wakizindua simu zao mpya za iPhone 12 huko nchini Marekani.

Baada ya uzinduzi kuweza kufanyika hatimaye sasa unaweza kuangalia uzinduzi mzima na yote ya muhimu yaliyotangazwa ndani ya dakika 12. Unaweza kuangalia kwa kubofya Play Hapo chini.

Kama unataka kujua sifa kamili na bei basi za iPhone 12, hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania tech, bila kusahau priceintanzania.com

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Jinsi ya Kuwasha Always On Kwenye Simu Yoyote ya Android 2
Jinsi ya Kuwasha Always On Kwenye Simu Yoyote ya Android
Next Post
Apple Yazindua Simu Mpya za iPhone 12 na 12 Pro 3

Apple Yazindua Simu Mpya za iPhone 12 na 12 Pro