Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za OnePlus 7 1

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za OnePlus 7

Kampuni ya OnePlus hivi leo inazindua simu zake mpya za OnePlus 7 na OnePlus 7 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi huo moja kwa moja kutoka nchini Marekani. Kama unataka kujua sifa kamili za simu hizi pamoja na bei yake kwa Tanzania hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech.

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Laptop yenye kioo cha kujikunja
Lenovo Kuzindua Laptop ya Kwanza Yenye Kioo cha Kujikunja
Next Post
Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei ya OnePlus 7 Pro na OnePlus 7 2

Zifahamu Hizi Hapa Sifa na Bei ya OnePlus 7 Pro na OnePlus 7