Popular Now
Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama 5

Claude Mythos Toleo Jipya la AI Lenye Kutishia Usalama

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews 6

Google is Introducing a Search Bar Within Play Store Reviews

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 7

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Youtube Yaleta Aina Mpya ya Matangazo 8

Youtube Yaleta Aina Mpya ya Matangazo

Kampuni ya Google kupitia mtandao wake wa kijamii wa YouTube imetangaza kupitia blog yake kuwa sasa kuna aina mpya ya matangazo ambayo yatakua yakitokea kama video fupi ya sekunde 6, habari hizo zilizo andikwa na meneja wa bidhaa hapo YouTube Mr Zach Lupei zinasema matangazo hayo ni sehemu ya mpango kazi wa kuboresha mtandao huo maarufu kwa kushare video wa YouTube.

Hata hivyo blog hiyo iliendelea kuandika kuwa watumiaji wa mtandao huo hawatakua na uwezo wa kusogeza (SKIP) matangazo hayo kwani yanatokea kwa muda mfupi sana hivyo kutakua hakuna haja ya kuyasogeza (SKIP) matangazo hayo iliandika sehemu ya habari kwenye blog hiyo. Hata hivyo hii ni habari njema kwa wale wanaoonyesha matangazo kwenye channel zao kwani hii inamaanisha kuongezeka kwa mapato kutokana na matagazo hayo mafupi maarufu kama “Bumper Ads“.

Previous Post
Hizi Ndio Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (24/4/2016) 9

Hizi Ndio Habari Kubwa za Teknolojia kwa Wiki Hii (24/4/2016)

Next Post
'Melomind' Spika za Kichwa Zenye Uwezo wa Kufundisha Kupumzika 10

‘Melomind’ Spika za Kichwa Zenye Uwezo wa Kufundisha Kupumzika