Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Video Yenye Kuonyesha Simu Mpya ya Samsung Galaxy S8

Video mpya yenye kuonyesha vizuri Samsung Galaxy S8
Samsung Galaxy-S8 Samsung Galaxy-S8

Kuvuja kwa simu mpya ya Samsung Galaxy S8 sasa imekuwa kama ni kitu cha kawaida hivi karibuni kumeonekana picha na video mbalimbali zote zinazoonyesha simu hiyo inayotegemewa kutoka hivi karibuni tarehe 29 mwezi march mwaka huu 2017.

Kuongezea kwenye mfululizo wa video na picha zilizovuja mitandao zikionyesha simu hiyo mpya, ifuatayo ni video yenye kuonyesha vizuri pengine kuliko video na picha zote ambazo zimetoka kwenye mtandao hivi karibuni.

Advertisement

Video hii imewekwa hapo jana ikiwa inaonyesha simu hiyo ikiwa na lebo zote pamoja na ile ya kuwa simu hiyo haiuzwi na hairuhusiwi kuvujishwa, wataalam wa mambo ya teknolojia wanasema hii ndio simu hiyo halisi na huo ndio muonekano wa simu hiyo inayotegemewa kutoka mwezi huu.

Kwa habari zaidi pamoja na mafunzo ya teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech kila siku pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kuapata habari zote kwa haraka pindi itakapo toka, pia usisahau kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech kupitia youtube ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya Video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use