Viatu Vinavyojifunga Kamba vya Nike HyperAdapt 1.0 Vyazinduliwa Huko New York

Viatu Vinavyojifunga Kamba vya Nike HyperAdapt 1.0 Vyazinduliwa Huko New York Viatu Vinavyojifunga Kamba vya Nike HyperAdapt 1.0 Vyazinduliwa Huko New York

Sayansi na tecknolojia kwasasa imefika mbali sana tumesha sikia technolojia ya vitu mbalimbali duniani lakini hii ndio ya kwanza duniani kwa upande wa viatu vya aina hii kufanikiwa kuingia sokoni, inasemekana kampuni mbalimbali zilisha wahi kutengeneza tecknolojia hii bila kufanikiwa kuingiza sokoni viatu hivyo lakini sasa kampuni ya NIKE imetangaza kuviingiza sokoni viatu hivi vipya vyenye uwezo wa kujifunga kamba.

Viatu hivyo vilivyo pewa jina la Nike HyperAdapt 1.0 ni moja kati ya viatu vichache duniani vinavyotumia technolojia ya hali ya juu duniani, Viatu hivi vinauwezo wa kujifunga na kujifungua kamba pale unapo bonyeza kitufe maalumu kilichoko kwenye Viatu hivyo. Viatu hivyo vili zinduliwa huko marekani na raisi wa kampuni ya NIKE Mark Parker hata hivyo bado hakijajulikana viatu hivyo vitauzwa kwa bei gani ila inasemekana viatu hivyo vya Nike HyperAdapt 1.0  vitaingia sokoni Mwezi Julai Mwaka huu 2016.

Ili kupata Bei ya Viatu hivi kwa wanao tumia iOS Pakua Hapo chini Application ya Nike+ kwani bei ya viatu hivi itatangazwa kupitia application hiyo ya NIKE ijulikanayo kama Nike+.

Advertisement

[appstore id=387771637]

 

 

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use