Popular Now
Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026 1

Samsung Will Discontinue its Messages app in July 2026

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra 2

Samsung Yabadilisha Viwango Vya Faragha Ya Simu Duniani Kwa Kuzindua Galaxy S26 Ultra

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini 3

Sasa Unaweza Kutengeneza Muziki Kupitia Google Gemini

Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Z Flip 4

Video : Ugumu na Ubora wa Samsung Galaxy Z Flip

Baada ya kampuni ya Samsung Kuzindua simu mpya ya Galaxy Z Flip, hatimaye leo karibu uweze kujionea ugumu na ubora wa simu hii mpya ya kujikunja kutoka Samsung. Kabla ya kuangalia video hii pengine mimi nikupe maoni yangu binafsi.

Kwangu mimi naona kama simu hizi za kujikunja hasa kwa hapa Tanzania bado hazina nafasi sana na nisingependa kutoa ushauri wa moja kwa moja kwa mtu kununua simu hizi, hii ni kutokana na ubora wa simu hizi kuwa mdogo ukilinganisha na kiasi cha pesa mtumiaji anacho lipia.

Ni vyema kuendelea kusubiri hadi hapo simu hizi zitakapo kuwa nyingi kwani natumaini kwa muda huo simu hizo zitakuwa na ubora zaidi kwani kampuni hizo zitakuwa zimegundua madhaifu mengi kwenye simu hizo na kurekebisha madhaifu hayo kutokana na maoni kutoka kwa watumiaji. Basi kwa kusema hayo sasa endelea na angalia ugumu na ubora wa simu hii.

 

Previous Post
Video: Kutana na Magari Mapya ya Kushangaza Mwaka (2020) 5

Video: Kutana na Magari Mapya ya Kushangaza Mwaka (2020)

Next Post
TECNO Yafungua Smarthub Duka Kubwa la Kisasa Arusha 6

TECNO Yafungua Smarthub Duka Kubwa la Kisasa Arusha