TECNO yaja na Tunu za TECNO Ofa Mpya Kwaajili ya Msimu wa Sikukuu

Zawadi nyingine na shopping voucher yenye thamani ya hadi Tsh 500,000 kushindaniwa
TECNO yaja na Tunu za TECNO Ofa Mpya Kwaajili ya Msimu wa Sikukuu TECNO yaja na Tunu za TECNO Ofa Mpya Kwaajili ya Msimu wa Sikukuu

Kampuni ya simu maarufu Tanzania na Barani Afrika, TECNO Mobile imekuja na Ofa ya kibabe inayotambulika kwa jina la “TUNU ZA TECNO” yenye malengo ya kuwanufaisha wateja wake katika msimu huu wa sikukuu.

TECNO yaja na Tunu za TECNO Ofa Mpya Kwaajili ya Msimu wa Sikukuu

Ofa ipo hivi, kwa kila mteja atakayenunua simu ya TECNO Spark 4 Air au simu yoyote katika Camon 12 series atakuwa ameingia moja kwa moja katika droo ya kushindania zawadi kemkem ikiwemo shopping voucher yenye thamani hadi Tsh 500,000 pamoja na King’amuzi cha DSTV chenye Offer ya Compact Bure.

Advertisement

TECNO yaja na Tunu za TECNO Ofa Mpya Kwaajili ya Msimu wa Sikukuu

Droo kubwa zitachezeshwa Tarehe 14 Disemba na 21 Disemba. Ofa hii ni kuanzia tarehe 26 Novemba hadi tarehe 24 Disemba katika maduka yote ya TECNO Tanzania, wahi sasa kwani hata wewe unaweza kuwa mshindi. Kujua zaidi kuhusu ofa hii tembelea mitandao ya kijamii ya TECNO Mobile Tanzania pamoja na tovuti ya www.tecno-mobile.com

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use