Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

TECNO Watoa Ofa Babkubwa Kwa Wateja Wao Siku Ya Members Day

Ofa hii ya kipekee ya TECNO itafanyika kila mwisho wa mwezi, kuinua wateja wake na kuwapa zawadi za kuvutia!
TECNO Watoa Ofa Babkubwa Kwa Wateja Wao Siku Ya Members Day TECNO Watoa Ofa Babkubwa Kwa Wateja Wao Siku Ya Members Day

TECNO imeanzisha promosheni ya kipekee ya MEMBER DAY ambayo imejaa ofa za babkubwa. Kama mteja, nunua matoleo yao mapya ya simu za SPARK 30 na POP 9, utapata zawadi bomba papo hapo! Pia, wateja wanapata nafasi ya kupata punguzo la 50% katika huduma za repair za simu (Carl Care).

Simu mpya za SPARK 30 na POP 9 ndio nyota wa siku katika mwezi wa Septemba. Kwa wapenzi wa teknolojia, MEMBER Day ni moja ya nafasi bora ya kupata toleo makini ukifurahia zawadi za kipekee.

Advertisement

TECNO Watoa Ofa Babkubwa Kwa Wateja Wao Siku Ya Members Day

Ofa hii ya kipekee ya TECNO itafanyika kila mwisho wa mwezi, kuinua wateja wake na kuwapa zawadi za kuvutia! MEMBER Day itafanyika kwenye maduka yao ya @tecnoexclusiveshop PEKEE kuanzia tarehe 26 hadi 28 Septemba.

Usikose ofa hii ya kipekee! Kwa maelezo zaidi, piga simu maduka yao ya @tecnoexclusiveshop kote nchini.

Dar es salaam Posta & Kariakoo: 0655957097 / 0758554670 / 0763832715 | Zanzibar Mtaa wa darajani: 0621 097 983 | Dodoma Barabara ya Sita: 0674 372 275 | Mbeya Soweto Street: 0754 427 419 | Arusha: 0762102471 / 0756701719 | Mwanza Goldcrest: 0699553067 / 0696226282 | Morogoro: 0678051527

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use